Friday 10th, January 2025
@Turian Shule yaSkondari
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoniimeendelea kugawa vifaa vya ujenzi kutoka kwa wafadhilikwa shule zake za MSINGINA Sekondarizilizoko katika Manispaa yake. Zoezi hili ni kufuatia agizo la Mkuu wa Mka wa Dar Es Salaam Mh. Paul Makonda alilolitoa la kuhakikisha shule zoteza Msingi na Sekondari zinajengwa majengo ya utawala.
Afisa Elimu Takwimu Ndg Ramadhani Mabula akitoa maelekezo kwa wanafunzi jinsi ya kugawa vifaa hivyo.
Matukio ya vifaa mbalimbali vilivyokuwa vikigawiwa shuleni hapo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.