Thursday 9th, January 2025
@Boko Basihaya Kata ya Bunju, Mto Nyakasangwe, na Daraja la Mbezi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Alli Hapi afanya ziara kutembelea maeneo yaliyoathirika na mvua ambapo katika ziara hiyo ilibainika watu waili kupoteza maisha, nyumba 100 kubomoka na zaidi ya nyumba 700, kuzingirwa na maji.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Alli Hapi akipewa melezo kuhusiana na athari za mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha.
Daraja la Mbezi lilivyokatika na kusababishwa kukatika kwa mawasiliano ya watembea kwa miguu, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha,
Matukio katika picha kufuatia athari zilizotokea kwenye mvua hizo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.