Friday 10th, January 2025
@Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Ziara ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabula kwa lengo la kukagua mfumo wa ukusanyaji Mapato katika Sekta ya Ardhi, Kuangalia utendaji kazi wa Mabaraza ya Ardhi, pamoja na kuangalia namana ya kuendeleza maeneo ya Halmashauri kupitia shrika la Nyumba la NHC.Katika Ziara hiyo ametoa maelekezo yafuatayo:- Kinondoni iweke mpango mkakati wa kukusanya madeni yatokanayo na kodi ya Ardhi., Kinondoni kuwa ya kwanza kutekeleza mfumo wa taarifawa Ardh (ILMIS).
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi akikagua mfumo wa ILMIS unavofanya kazi katika idara ya Ardhi.
Waziri Angelina Mabula akipewa taarifa kuhusiana na masijala ya Ardhi inavyofanya kazi.
Matukio Katika Picha.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.