Thursday 9th, January 2025
@Msasani Soko la Samaki
Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mh.Benjamin Kawe Sitta awa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Mvuvi Duniani, ambapo yaliadhimishiwa soko la samaki msasani kwa kutoa zawadi kwa wavuvi walioshinda uvuvi wa samaki soko hapo.
Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta akitoa zawadi kwa washindi wa uvuvi wa samaki.
Afisa Uvuvi Manispaa ya Kinondoni Bi. Grace Kakama akizungumnza na wavuvi siku hiyo ya maadhimisho.
Matukio menginekatika picha.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.