Friday 10th, January 2025
@Bunju
Tarerehe 11 ya mwezi wa 10 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya mtoto wa kike.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inaungana na dunia kwa kuadhimisha siku hii muhimu ngazi ya Wilaya katika Kata ya Bunju ambapo hafla ya maadhimisho hayo imehudhuriwa na watu na taasisi mbalimbali.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni: "HAKI ZETU NI HATMA YETU; WAKATI NI SASA"
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.