Friday 10th, January 2025
@Uwanja wa shule ya Msingi Bunju 'A', Kata ya Bunju
Kuelekea siku ya maadhimisho ya chanjo ya kichaa cha Mbwa Kitaifa, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inapenda kuwakaribisha wamiliki na wafugaji wote wa mbwa kuwaleta mbwa wao kupata chanjo tarehe 28 Septemba, 2023 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika uwanja wa shule ya msingi Bunju 'A', Kata ya Bunju.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.