Thursday 9th, January 2025
@Tandale Mto Ng'ombe
Ziara ya Naibu waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Kangi Lugola alipofanya Ziara Manispaa ya Kinondoni , Kata ya tandale kuangalia maeneo yaliyoathirika na mvua na pia kuzindua kampeni ya Mazingira nchi nzima iitwayo " TUDHIBITI UCHAFUZI WA MAZINGIRA TUSALIMIKE".
Naibu Waziri Mh. Kangi Lugola akisafisha Mto Mngombe kama ishara ya uzinduzi wa Kampeni ya Mazingira Nchi nzima.
Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Kangi Lugola(katikati), wakijadiliana jambo na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi .Gifti Isaya(pembeni), pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bw. Aron Kagurumjuli(katikati), na Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Ndg Joseph Malongo(kulia).
Matukio Mengine Katika Picha.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.