Thursday 9th, January 2025
@Mbuyuni shule ya Msingi
Hafla ya kuwapongeza waalimu wa shule za msingi kwa jitihada za kufanikisha ufaulu wa asilimia 93.02% matokeo ya darasa la saba 2017 na kuifanya Kinondoni kuibuka kidedea kitaifa.
Mkuu wa Wilaya ya KinondoniMh. Alli Hapi pamoja na Mh Thadei Massawe(Diwani), Mwenyekiti wa Kamati za Huduma za Uchumi ,Afya na Elimu wakipokea zawadi ya Ng'ombe kama ishara ya Uzinduzi wa Hafla hizo kufanyika kila Kata kwa kata zote 20 za Manispaa ya Kinondoni.
Afisa Elimu taaluma Bi. Chitegese Dominic akipokea zawadi ya cheti kwa kusimamia vizuri taaluma Manispaa ya Kinondoni.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbuyuni wakipita jumbe zao mbele ya Mkuu waWilaya kama ishara ya heshima kufuatia hafla za sherehe hizo.
Picha za matukio ya hafla hiyo.
Waalimu wakuu wakimpongeza Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Kinondoni Bw. Kiduma Mageni kwa kufanikisha ufaulu mzuri wa matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2017.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.