MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI ANAWATANGAZIA WALE WOTE WALIOITWA KWENYE USAILI TAREHE 16/10/2017, KUWA USAILI HUO UMEAHIRISHWA MPAKA HAPO UTAKAPOTANGAZWA TENA.
HALMASHAURI INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
IMETOLEWA NA
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.