Tarehe iliyowekwa: October 1st, 2018
Manispaa ya kinondoni katika kuadhimisha siku ya wazee duniani yenye kauli mbiu isemyao"Wazee ni hazina ya Taifa, tuenzi juhudi za kutetea haki na ustawi wao", imegawa vitambulisho takribani 900 vya m...
Tarehe iliyowekwa: September 28th, 2018
Manispaa ya Kinondoni leo imeadhimisha siku ya kichaa cha Mbwa duniani, yenye kauli mbiu isemayo "Sambaza ujumbe, okoa maisha" kwa kutoa chanjo kwa mbwa na paka 1150, zoezi lililofanyika k...
Tarehe iliyowekwa: September 19th, 2018
Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Benjamini Sitta, alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika mahojiano yaliyofanyika mara baada ya kikao cha Baraza la Madiwani kilichofa...