Serikali Wilayani Kinondoni, imeishukuru Japan Kwa msaada wa uboreshaji miundombinu katika Sekta ya Elimu.
Shukrani hizo zilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Saad Mtambule, wakati wa hafla ya chakula Cha usiku alichomuandalia Balozi wa Japan nchini, Mheshimiwa Yasushi Misawa, iliyofanyika katika Hotel ya Seascape, Kata ya Kunduchi.
Kwa upande wake, Balozi Misawa aliahidi Kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizi Mbili ikiwemo Sekta ya Kilimo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.