Mratibu Msaidizi wa Miradi ya DMDP II, Manispaa ya Kinondoni, Bi. Janeth Mwambungu, ameongoza Timu ya Wataalamu (PIT Team) kutembelea maeneo ya wazi.
Ziara hiyo ilifanyika Novemba 14, 2024 Kwa kutembelea maeneo ya Mivumoni, Tegeta, Mbweni, Msasani na Mabwepande ambayo yanatarajiwa kuendelezwa.
Timu hiyo pia iliwajumuisha Wajumbe kutoka Benki ya Dunia na Ofisi ya Rais TAMISEMI.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.