Uhakiki wa Uthamini kwa waguswa na mradi wa DMDP II, Barabara ya Tegeta - Silver iliyopo Kata ya Kunduchi Mtaa wa Kondo. Hii ni kuhakikisha mradi unatekelezwa vizuri na Barabara zetu zinapitika kwa urahisi.
“Serikali za Mitaa , sauti za wananchi, Jitokeze kushiriki uchaguzi”.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.