Mafunzo kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii (CDO's) wa Manispaa ya Kinondoni yaliyohusu miongozo katika utoaji wa Mikopo ya asilimia 10 yamehitimishwa Oktoba 5, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni. Kupitia mafunzo hayo, Maafisa Maendeleo ya Jamii pia wameaswa kuwahamasisha wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba, 27 2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.