Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert John Chalamila Oktoba 15, 2024 amewapokea Madaktari bingwa maarufu kama Madaktari wa Mama Samia ambao wanakwenda kutoa huduma za matibabu katika Hospitali za Wilaya zilizopo katika Manispaa tano za Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Oktoba 14 hadi 19, 2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.