• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

WATANZANIA KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUWA WALINZI WA MIKONDO YA MAJI INAYOHARIBIWA ILI KUEPUKANA NA ATHARI ZA MAFURIKO ZINAZOWEZA KUTOKEA KIPINDI CHA MVUA.

Tarehe iliyowekwa: January 10th, 2018

 Watanzania kote nchini wametakiwa kuhakikisha wanakuwa walinzi wakubwa wa mikondo ya maji inayoharibiwa na wachache kwa kujenga kwenye maeneo hayo kinyume cha Sheria na kuzuia maji kunakosababisha mafuriko yanayoleta athari kubwa kipindi cha mvua.

 Rai hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Alli Hapi alipofanya ziara kutembelea maeneo ya barabara yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha ikiwemo ile barabara ya Shopers Plaza 

 Amesema mafuriko hayo yamesababishwa na wananchi kujenga kwenye miundombinu ya kupeleka maji baharini na kusababisha kuzibwa kwa mkondo wa Maji na kuleta mafuriko. 

 Aidha amewataka wahandisi wa Manispaa kufanya tathmini ya ujenzi wa nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya barabara na mkondo wa maji na kuwachukulia hatua za kisheria  ikiwa ni pamoja na kuwapa notisi,ya siku saba ya kuwataka  wabomoe Majengo yao kwa gharama zao wenyewe. 

 "Tumejionea wananchi ambao wamejenga kwenye miundombinu ya kupeleka maji baharini, wananchi wamezuia maji,  wananchi wamejenga kwenye mitaro,  wananchi wamevamia maeneo ya barabara,  hatutotoa senti ya Serikali kwenda kumbomolea mvamizi ambaye amevamia yeye mwenyewe, bila yeye kutulipa fidia, kwa hiyo watu wote hao wabomoe wenyewe maeneo yao, vinginevyo tutawabomolea na watatulipa gharama za kwenda kubomoa kuta zao, kubomoa majengo yao, hatuwezi kuwapa shida wananchi waliowengi kwa sababu ya watu wachache kujenga kwenye maeneo ya mikondo ya maji kinyume cha sheria, " Ameagiza Hapi. 

 Katika hatua nyingine amewataka wale wote wanaokaa mabondeni na maeneo hatarishi ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba zao maeneo hayo, wahame mara moja ili kuepukana na maafa yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha mvua. 

 "Serikali inatoa RAI kwamba wananchi wahame kwa hiari yao  maeneo hatarishi ,waende kwenye maeneo ambako ni salama kwa Maisha yao na familia zao. Kwa kweli hatutarajii kwamba tutapata maafa yeyote kutoka kwa maeneo ambako watu wanajua kabisa kwamba maeneo haya ni hatari "Ametahadharisha Hapi. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Habari na Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.