• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

WANAFUNZI 121,086, KUTOKA SHULE ZA MSINGI 157, MANISPAA YA KINONDONI ,KUPEWA DAWA ZA KINGA YA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO

Tarehe iliyowekwa: August 1st, 2018

NI KUFUATIA KAMPENI YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE NCHINI TANZANIA INAYOENDESHWA NA WIZARA YA AFYA.

Hayo yamebainishwa leo na Kaimu mganga mkuu wa Manispaa hiyo Dr. Neema Mlole, alipokuwa akiendesha mafunzo ya siku moja yaliyohusisha watendaji wa Kata, waratibu wa Elimu kata, pamoja na Maafisa Afya wa Manispaa hiyo, kuhusiana na kampeni ya utoaji dawa kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele.

Amesema, kampeni ya utoaji dawa kwa magonjwa haya,  imelenga watoto wenye umri kuanzia miaka 05-14, kwani umri wa miaka 05, ni umri wa mtoto kuwa kwenye mpango wa chanjo za clinic na umri wa miaka 14 inasadikiwa kuwa umri wa mtoto ambaye bado kupevuka, utakaomwezesha kutambua athari ya kuwa katika Mazingira hatarishi ya maambukizi ya magonjwa ya kichocho na minyoo ya tumbo.

F

 Aidha amefafanua kuwa kampeni hii ni mwendelezo wa tatu kufanyika wakishirikiana na Wizara ya Afya kitengo cha magonjwa yasiyopewa kipaumbele nchini Tanzânia, ambapo ya kwanza ilifanyika mwaka 2014, na ya pili mwaka 2016.

"Tunategemea kutoa dawa kwa ajili ya kukinga magonjwa ya kichocho na minyoo ya tumbo kwa wanafunzi wa shule za msingi 157, zilizosajiliwa Manispaa ya Kinondoni, kuanzia wanafunzi wenye umri wa miaka 05 hadi miaka 14, hii itakuwa ni mwendelezo wa tatu kwa kampeni hii kufanyika." Amebainisha Dr. Neema.

Naye Bi Agnes Mgaya ambaye  ni mratibu wa wauguzi Manispaa hiyo,  katika mada yake ameyataja magonjwa yasiyopewa kipaumbele nchini Tanzania kuwa ni Trachoma, Usubi, Kichocho, minyoo ya tumbo, matende, mabusha na Ngiri maji.

Ameongeza kuwa magonjwa haya huambukizwa kwa njia tofauti tofauti, ambazo mwanadamu yeyote anaweza kujikinga nazo chache zikiwa ni kutumia chandarua, kumeza dawa za kujikinga na magonjwa hayo, na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara.

Akitoa ufafanuzi wa matumizi ya dawa hizo Bi Sophia Mwilongo ambaye ni  Mfamasia wa Manispaa hiyo,  amethibitisha dawa hizo kutokuwa na madhara yeyote zikimezwa kwa utaratibu na Maelekezo ya mtaalam, na kuwataka wazazi na walezi kuwaruhusu watoto wao kupewa dawa hizo, kwani ni kinga kwa magonjwa hayo ya kichocho na minyoo ya tumbo.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Uhusiano na Habari.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.