• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU KWA MUDA MREFU

Tarehe iliyowekwa: May 12th, 2018

NI KWA KURASIMISHA EKARI 366 ZA ARDHI ENEO LA BOKO DOVYA,  MANISPAA YA KINONDONI.

Serikali kupitia Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi, Mh Willium Lukuvi imemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati yake na wananchi, kwa kurasimisha eneo hilo lenye ekari 366 lililokuwa linatumiwa kwa makazi na wavamizi tangu kutwaliwa kwake.

Akiongea na wakazi wa Boko Dovya katika mkutano na wananchi hao, Mh Lukuvi amesema, eneo hilo lililokuwa linamilikiwa na familia ya Somji lilitwaliwa na Serikali kwa manufaa ya umma na kabla ya kuendelezwa kwake wananchi wakavamia na kufanya makazi  kinyume cha Sheria.


Amesema maeneo ya ardhi yanapotwaliwa na Serikali ni kwa manufaa ya Umma na ni lazima yaheshimiwe na si vinginevyo, hasa ikizingatiwa nia ya Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dr. John Pombe Magufuli ni ya dhati kabisa ya kuona wananchi wake wanaondokana na migogoro ya ardhi isiyo yalazima.

Aidha ameongeza kuwa kwa urasimishaji huo kukamilika, wananchi wakazi wa eneo hilo yawapasa kuchangia gharama za uandaaji wa michoro ya Upimaji,  pamoja na upatikanaji wa hati , ili waweze kupata hati zitakazowatambulisha uhalali wa umiliki wao.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Alli Hapi, amemshukuru Rais Magufuli kwa uamuzi wake huo, na kuwatahadharisha matapeli watakaojitokeza kujipatia maeneo katika eneo hilo, au kuhamisha wenyeji kuwa, hatua kali za  kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na kupelekwa mahakamani.

Kadhalika amepiga marufuku uuzaji, na ununuaji wa ardhi kiholela, au kufanya maendelezo yoyote katika eneo hilo mpaka pale zoezi la urasimishaji litakapokamilika.

Wakizungumnza kwa nyakati tofauti wananchi wakazi wa eneo hilo wamemshukuru Mh Magufuli kwa uamuzi huo, wa kurasimisha eneo hilo na kuahidi ushirikiano mkubwa katika zoezi zima la urasimishaji.


Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.