• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

RAI YATOLEWA KWA MASHIRIKA YA UMMA, NA BINAFSI KUSHIRIKI KAMPENI YA UCHANGIAJI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KINONDONI

Tarehe iliyowekwa: February 7th, 2019

Rai hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Daniel Chongolo alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya upokeaji   mifuko 200 ya simenti kutoka Shirika la Nyumba la Taifa.

Akipokea Mifuko hiyo ya simenti, Mh Chongolo amesema huo ni mfano wa kuigwa kwani kwa kufanya hivyo si tu kuunga mkono Halmashauri ya Kimondoni katika kampeni ya ujenzi wa vyumba 100, vya madarasa, bali pia ni kumuunga mkono Rais wa awamu ya tano, katika falsafa aliyonayo ya kuboresha mazingira ya elimu Nchini Tanzania.

Amesema "Wilaya yetu ya Kinondoni, imejiwekea lengo ya kwamba ifikapo mwezi wa tatu, tuwe tumekamilisha kujenga vyumba 40 kwa shule za  sekondari, na vyumba 60 kwa shule za msingi, hali ambayo bila mashirika na taasisi binafsi kutuunga mkono si rahisi, kadhalika ni faraja kwetu sote kuona hali hii ya ushirikiano katika kuboresha miundombinu hii ya elimu inaendelea,  kwani azma yetu ni kuona vijana wetu wanapatiwa mazingira rafiki ya kusomea na waalimu kufundisha" Mh Chongolo.

Naye kaimu mkuu wa kitengo cha huduma za jamii na mawasiliano kwa umma kutoka shirika la nyumba la Taifa Bw Yahya Charahani amesema elimu ndio ufunguo wa Maisha na ukitaka kumkomboa mtoto wa mwananchi aishiye chini ya dola moja yaani masikini mpatie elimu, na ndio maana tumefarijika sana kuungana na Halmashauri yetu hii katika kuhakikisha miundombinu ya elimu inaboreshwa na watoto wanasoma bila bugudha yeyote.

Kwa upande wake Afisa elimu sekondari Bw Leonard Msigwa alipotakiwa kuzungumza,  amelishukuru shirika la Nyumba la Taifa kwa kujitoa kuchangia Ujenzi wa vyumba vya madarasa kwani kwa kukamilika kwake kutatatua changamoto iliyopo kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.