• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Utalii wa Jiji
        • Royal Tour Bus
        • Mobile Stage
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI KWA KUTOA CHANJO KWA MBWA NA PAKA 1150 KATI YA 1588, WALIOTAMBULIWA.

Tarehe iliyowekwa: September 28th, 2018

Manispaa ya Kinondoni leo imeadhimisha siku ya kichaa cha Mbwa duniani, yenye kauli mbiu isemayo "Sambaza ujumbe, okoa maisha"  kwa kutoa chanjo  kwa mbwa na paka 1150, zoezi lililofanyika katika Mtaa wa Madale, Kata ya Wazo iliyopo Manispaa hiyo.

Akizungumnzia maadhimisho hayo ambayo huadhimishwa duniani tarehe 29/08  ya kila mwaka,  kwa niaba ya Afisa Mifugo wa Manispaa ya Kinondoni, Dr. Ntanga amesema,  Kinondoni imemudu kudhibiti kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa, kwani chanjo iliyokwishatolewa tangu mwezi wa saba mwaka huu,  hadi sasa ni asilimia 70.

"Viko viwango vya Afya kutoka shirika la Afya duniani vinavyosadikiwa kwamba, chanjo ya ugonjwa ikifanyika kwa  asilimia 70, inakuwa imemudu kwa kiasi kikubwa zuio la ugonjwa husika. Kwa sisi Kinondoni tangu mwezi wa saba mwaka huu, hadi sasa tumefanikiwa kutoa chanjo kwa mbwa na Paka 1150  kati ya 1588 waliotambuliwa" Amebainisha Dr.Ntanga.

Aidha Dr Ntanga pia  ametahadharisha athari zinazopatikana kwa kung'atwa na mbwa mwenye kichaa kuwa ni kupelekea kifo endapo matibabu yatacheleweshwa, na kuwataka wananchi wakazi wa Kinondoni kuhakikisha wanazingatia sheria ndogo za ufugaji mijini kwa kuhakikisha wanawapeleka mbwa wao na paka kwenye chanjo.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na uoneshaji wa sinema kwa wanafunzi inayotoa elimu na uelewa wa namna thabiti ya kujikinga na athari za kichaa cha mbwa.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KWA AMBAO HAWAJALIPIA VIWANJA June 26, 2023
  • TANGAZO KWA WAFUGAJI WOTE WA NG'OMBE WA MAZIWA June 14, 2023
  • PONGEZI June 07, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAANDALIZI YA LISHE BORA SHULENI YAZINGATIE USAFI

    September 07, 2023
  • LTIP KUKWAMUA URASIMISHAJI KINONDONI

    September 07, 2023
  • BANANGA APONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI

    August 18, 2023
  • RC CHALAMILA ATAKA VIONGOZI WAADILIFU, WACHAPAKAZI SOKO LA MAKUMBUSHO

    August 16, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MIKAKATI YA USAFI WA MAZINGIRA MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.