• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KIKAO KAZI CHA KUJENGA UELEWA WA MPANGO WA TASAF KWA VIONGOZI KINONDONI CHAZINDULIWA LEO

Tarehe iliyowekwa: July 6th, 2021

Akizindua kikao kazi hicho chenye lengo la kujenga uelewa kuhusu mpango wa TASAF wa kunusuru Kaya masikini kipindi cha pili, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe amesema ni vema wakawa na uelewa wa kutosha hali itakayopelekea uwajibikaji utakaoenda sambamba na ufuatiliaji kwa maslahi mapana ya walengwa na Taifa kwa ujumla.

Amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan imelenga kuinua kipato kwa kaya masikini hali itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Aidha amewataka viongozi kutambua umuhimu wa mpango wa TASAF kipindi cha pili na kuwataka agenda ya utambuzi wa walengwa kuwa endelevu kwani ndio msingi mzima wa ukamilishaji wa mkakati huu wa kunusuru Kaya masikini kwa maslahi mapana ya Taifa.

"Ningependa eneo hili la upatikanaji wa walengwa kuwe na uwazi wa kutosha kutokana na miongozo ambayo mtaitoa katika mafunzo yenu, ili kwamba tukubali sisi Kinondoni vile vikao vya kisheria na kikatiba tunaiweka agenda hiyo kuwa endelevu",  Ameeleza Mhe. Godwin Gondwe.

Ameainisha vipaumbele vinavyotakiwa kutiliwa mkazo katika mpango huu wa kipindi cha pili kuwa ni kuwe na uwazi wa kutosha, kuwe na uelewa mzima wa madhumuni ya TASAF kwa walengwa,  tuelewe ni nini wajibu wa walengwa wenyewe na kuhakikisha fedha zinafika kwa walengwa na  kutumika kwa malengo mahususi.

Naye Mkurugenzi wa miradi ya jamii TASAF kwa niaba ya Mkurugenzi wa TASAF makao makuu Bi. Philippine Mmary katika hotuba yake amesema katika kipindi cha pili cha TASAF kimelenga kufikia Kaya zote ambazo hazikufikiwa awamu ya kwanza katika Manispaa ya Kinondoni.

Hafla hii ya uzinduzi wa kikao kazi imehudhuriwa pia na Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, Mstahiki Meya Kinondoni, Naibu Meya, Baraza la Madiwani, TAKUKURU, Mbunge viti maalum, Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Maafisa Ugani kutoka kwenye Kata.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.