• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KINONDONI YAMPONGEZA MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUTEKELEZA KIKAMILIFU ILANI YA CCM 2015 /2020

Tarehe iliyowekwa: December 12th, 2019

Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kinondoni jana imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi sita iliyopo katika Kata tano kati ya kata 20 zilizopo katika Halmashauri hiyo.


 Ziara hiyo ambayo ilikuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Harlod Maruma,  ilihusisha  viongozi wengine akiwemo Mkuu wa Wilaya hiyo  Mhe. Daniel Chongolo, Mstahiki Meya Benjamini Sita, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dk. Patricia Henjewele, Mbunge wa jimbo hilo Maulid Mtulia, watendaji pamoja na wakuu wa Idara mbalimbali.


Aidha kamati hiyo ilitembelea mradi wa Kituo Cha  Afya Cha Kigogo kinachojengwa kwa shingili milioni 700 ambapo kati ya fedha hizo shilingi milioni 400 ni pesa kutoka Serikali kuu, shilingi milioni 300 ni pesa zinazotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri.


Kamati hiyo ilitembelea mradi mkubwa wa Soko la Kisasa la Magomeni linalojengwa kwa shilingi Bilioni 8.9 ambapo kamati hiyo ilieleza kuwa imeridhishwa na hatua ya soko hilo ilipofikia kwa sasa na hivyo kutumia nafasi hiyo kumpongeza Mkurugenzi Ndugu. Aron Kagurumjuli na watendaji wake.


 Kamati hiyo pia ilitembelea mradi wa ujenzi wa vyumba sita vya madarasa ya ghorofa shule ya Sekondari Mzimuni, ambapo Mkuu wa shule hiyo , Yahaya Kirondo alisema kuwa kulingana na kasi ya ujenzi unavyo endelea  hadi kufikia Januari 2020 wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule hiyo wataanza kutumia madarasa hayo.


 Aidha kamati hiyo  ilitembelea ujenzi wa  Zahanati ya Magomeni, Makumbusho ambapo kwa mujibu wa mkandarasi mshauri anayesimamia ujenzi wa Zahanati hizo,  alisema kuwa hadi kufikia Aprili  2020  zitakuwa zimekamilika na hivyo wananchi kuanza kupata huduma.


 Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Daniel Chongolo aliieleza kamati hiyo  kuwa, kumalizika kwa Zahanati hizo kutasaidia kuwa rahisishia wananchi kupata huduma za karibu katika Zahanati hizo badala ya kwenda moja kwa moja katika Kituo Cha Afya cha Magomeni au Hospital ya Rufaa ya Mwananyamala.


 Mhe. Chongolo alisema kuwa, Zahanati hizo pia zitakuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Magomeni na maeneo mengine kwa kuwa eneo hilo linawakazi wengi na kwamba ha kukuwa na Zahanati zaidi ya Hospitali ya Rufaa ya  Mwananyamala  na Kituo cha Afya Cha Magomeni.


 Miradi mingine iliyotembelewa na kamati hiyo ni ujenzi wa barabara zinazo simamiwa na DMDP ambazo ni Shekilango yenye urefu wa kilomita 3.7, Barabara ya Akachube yenye urefu wa kilomita 0.94, barabaa ya TRA yenye urefu wa kilomia 1.1, barabara ya Sinza Mori yenye urefu wa kilomita 0.93 na Igesa yenye urefu wa kilomita 0.64.


 Imetolewa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.