• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI, YABAINI UTORO KWA WALENGWA WA DAWA ZA KUFUBAZA VVU(ARV)

Tarehe iliyowekwa: November 28th, 2018

Kamati ya kudhibiti UKIMWI  Manispaa ya  Kinondoni (CMAC) chini ya mwenyekiti wake ambae pia ni naibu Meya wa Manispaa  hiyo  Mhe. George Manyama imebaini kuwepo kwa utoro wa walengwa wa dawa za kufubaza VVU, hali ambayo inahatarisha usalama wa afya za wagonjwa hao.

Hayo yamebainika leo wakati wa ziara ya   kutembelea vituo vya kutolea huduma kwa Watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi ( CTC) , vilivyopo katika Hospitali ya Rufaa ya  Mwananyamala na kituo Cha afya Tandale kwa lengo la kuona hali halisi ya utoaji wa huduma, upatikanaji wa huduma kwa WAVU pamoja na Changamoto.

Akizungumnzia swala hilo la utoro, Mh.Manyama amesema " Hali hii inatishia mapambano yanayoendelea ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI,  hivyo ni lazima kwa watoa huduma na wadau mbalimbali tushirikiane na serikali Katika kuongeza juhudi za utoaji wa elimu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ili waelewe umuhimu wa kuhudhuria cliniki kikamilifu".

Awali akitoa taarifa yake mbele ya kamati, Mkuu wa kitengo Cha Watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Katika hospitali ya mwananyamala Dkt Rehema Mzalau amesema,  kwa kipindi Cha mwaka mmoja uliopita idadi ya wagonjwa watoro ni 400, na kubainisha mikakati itakayowawezesha kupatikana  kwa wagonjwa hao ili kuzuia uwezekano wa kuambukiza wengine.

Dkt Rehema pia, ameainisha  mafanikio yaliyopo kwenye kituo hiko hadi sasa kuwa ni kufanikiwa kupunguza ongezeko la  maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto (PPMCTC) Kwani kwa kipindi Cha Mwaka mmoja uliopita kituo kimepata maambukizi 0.

Kwa upande wake mratibu wa Kudhibiti maambukizi ya UKIMWI Manispaa ya Kinondoni Bi Rhobi Gwesso amewasihi wanakamati kuwa sehemu ya  uwakilishi  katika kutoa elimu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI juu ya umuhimu wa kuendelea kutumia  dawa za VVU, kwani dawa hizi zinafubaza virusi na si kuua virusi.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.