• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

DC KINONDONI AKUTANA NA WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 2000 KUTOKA KATA ZOTE ISHIRINI ZILIZOKO KATIKA WILAYA YAKE

Tarehe iliyowekwa: March 28th, 2018

 NI KWA LENGO LA KUSIKILIZA CHANGAMOTO, PAMOJA NA KUWAUNGANISHA NA FURSA MBALIMBALI ZILIZOKO ILI WAWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI. 

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi leo, amekutana na wajasiriamali zaidi ya 2000 kutoka katika kata zote ishirini zilizoko Wilayani kwake  kwa lengo la kuzungumnzia changamoto pamoja na kuwaunganisha na fursa mbalimbali zilizoko ili waweze kujikwamua kiuchumi. 

 Mkutano huo uliombatana na kauli mbiu isemayo "Uthubutu, ubunifu na kujiamini "umefanyika  katika ukumbi wa King Solomon ambapo wajasiriamali walioshiriki  wamepata fursa ya  kuzungumnzia changamoto zinazowakabili na kupatiwa mbinu za kujikwamua na changamoto hizo.

 Amesema lengo la Halmashauri ni kuhakikisha inaungana na wajasiriamali katika kuhakikisha wanasukuma gurudumu la maendeleo kwa kuwakopesha wananchi wake zana za kufanyia shughuli zao, na hii ni katika kuunga mkono Serikali ya awamu ya tano inayosisitiza Tanzania ya viwanda. 

 Aidha amewataka wajasiriamali katika kutekeleza sera ya mikopo ya vijana na wanawake, kuhakikisha wanajiunga kwenye vikundi na kujisajili ili waweze kupatiwa elimu pamoja na fursa mbalimbali za Maendeleo.

 Akitoa taarifa ya Mikopo kwa Manispaa ya Kinondoni, Bi Flora Msilu ambaye ni mratibu wa mfuko wa wanawake na Vijana Manispaa hiyo amesema hadi kufika leo, kiasi cha shilingi milioni miambili (200) zimeshatolewa ambapo vikundi 154 zimenufaika na mkopo huo, kati yake 45 ni vikundi vya vijana. 

 Amezitaja shughuli nyingine wanazojishughulisha nazo katika idara yake kuwa ni kuratibu  mikopo, kuhamasisha jamii kupambana na ukali wa virusi vya UKIMWI, Kunusuru kaya maskini kwa kuzipatia fedha ili ziweze kumudu gharama au mahitaji ya msingi (TASAF), ushirikishwaji wa wanawake pamoja na kuratibu maswala ya maafa. 

 Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Wilaya amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha wanatumia taaluma zao kuwasaidia wananchi pale inapohitajika na si vinginevyo. 

 Imeandaliwa na
 Kitengo cha Habari na Uhusiano.
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.