• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Utalii wa Jiji
        • Royal Tour Bus
        • Mobile Stage
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

"AHIMIZA UADILIFU WAKATI WA SENSA" DC GONDWE KINONDONI

Tarehe iliyowekwa: July 28th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe amehimiza uadilifu kwa makarani wa sensa wakati wa zoezi la sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti 23, 2022. 

Mheshimiwa Gondwe ameyasema hayo alipokuwa akiongea na wakufunzi wa sensa 190 waliohitimu mafunzo ya siku 21 katika Manispaa ya Kinondoni.

Akizungumza na wakufunzi hao leo katika ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Gondwe alisema kuwa, “Sensa ni jambo la kitaifa na la kimkakati ambalo litawagusa watu kwa miaka 10 mingine ijayo, hivyo hatutakiwi kukosea hata kidogo wala kuwaruka watu kuhesabiwa, Mkaifanye kazi hii kwa uadilifu mkubwa.”


Aidha aliwaeleza wakufunzi hao kuwa wanatakiwa kwenda kuwafundisha Makarani wa Sensa uzalendo, maadili ya kazi na kusimamia miongozo ya kazi hiyo. Jumla ya Makarani 4,800 kati ya zaidi ya watu 12,000 walioomba kazi hiyo, walichaguliwa kushiriki zoezi la kuhesabu watu. 


 Imeandaliwa na

 Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KWA AMBAO HAWAJALIPIA VIWANJA June 26, 2023
  • TANGAZO KWA WAFUGAJI WOTE WA NG'OMBE WA MAZIWA June 14, 2023
  • PONGEZI June 07, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAANDALIZI YA LISHE BORA SHULENI YAZINGATIE USAFI

    September 07, 2023
  • LTIP KUKWAMUA URASIMISHAJI KINONDONI

    September 07, 2023
  • BANANGA APONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI

    August 18, 2023
  • RC CHALAMILA ATAKA VIONGOZI WAADILIFU, WACHAPAKAZI SOKO LA MAKUMBUSHO

    August 16, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MIKAKATI YA USAFI WA MAZINGIRA MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.