• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

MALIASILI NA MAZINGIRA

MALIASILI NA MISITU

Eneo la hifadhi ya misitu la Mkoa kwa sasa ni Ha. 4,199 kwa mwaka huu 2017, Ha.3,697 mwaka 2008 ambapo mwaka 2005 ilikuwa Ha. 588 na mwaka 2000 Ha. 90 tu. Ongezeko hili linaonyesha kuwa jitihada za kuongeza hifadhi ya misitu katika Mkoa ni kubwa na za kuridhisha.

Kuhusu upandaji miti, Mkoa unaendelea kuwaelimisha na kuwahimiza wadau mbalimbali kupanda na kuitunza miti katika maeneo yao. Katika kuimarisha zoezi hili tarehe 01/10/2016 Mkoa umezindua kampeni ya upandaji miti ijulikanayo kama MTI WANGU. Katika kampeni hii Wananchi katika ngazi ya Kaya wanahimizwa kupanda miti isiyopungua 5 ya matunda na kivuli. Kupitia kampeni hii Mkoa umepanga kupanda miti milioni 4 kufikia mwaka 2019 ili kuboresha mazingira ya Jiji kwa kuongeza Ukanda wa Kijani na kupendezesha Jiji (City greening and beutification). Aidha katika utaratibu huu aina ya miti mbalimbali hupandwa kila mwaka ikiwamo ya matunda, mapambo nishati na biashara. Maeneo yanayopandwa miti ni:- maeno ya wazi, barabara, makazi, taasisi mbalimbali, viwandani, kandokando ya mito, mabondeni, fukwe za bahari na maeneo ya vyanzo vya maji.

SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA

Kila ifikapo tarehe 01 Aprili ya kila mwaka ni Siku ya Upandaji miti Kitaifa. Mkoa wa Dar es Salaam hufanya maadhimisho haya katika ngazi ya Mkoa. huadhimishwa katika moja ya wilaya kwa mzunguko/zamu kwa kila mwaka ambapo wadau wote hushiriki kwa kupanda miti katika maeneo mbalimbali.

Mwaka 2016/2017 sherehe hizo zilifanyika katika wilaya ya Ilala kata ya Msongola, Shule ya Msingi Yangeyange ambapo jumla ya miti 3,000 ya Mijohoro, Miembe, Miharadani na Palm ilipandwa katika siku hiyo ya maadhimisho. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema.

UTEKELEZAJI WA UPANDAJI MITI MSIMU 2016/2017

Lengo la Mkoa lilikuwa ni kupanda miti 1,000,000 kwa kuzingatia utekelezaji wa kampeni ya MTI WANGU ya kupanda miti 4,000,000 kuanzia mwaka 2016 hadi kufikia mwaka 2019 ambapo Manispaa ya Ilala ilipanda miti 16,158, Kigamboni 5,116, Kinondoni 20,633, Temeke 13,948, Ubungo 14,372. Utekelezaji halisi jumla ya miti 70,227 ilipandwa kimkoa. Mwaka 2015-2016 jumla ya miti 30,473 ilipandwa ambapo Manispaa ya Ilala ilipanda miti 2,822, Kinondoni 9,100, Temeke 18,557.

Utekelezaji huu wa upandaji miti kimkoa kuanzia 2015/2016, na 2016/2017, jumla ya miti 100,700 imepandwa katika mkoa wa Dar es Salaam.

TAKWIMU MBALIMBALI ZA MALIASILI NA MAZINGIRA KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM

 IDADI YA VITALU VYA MICHE NA MITI VILIVYOPO:

Halmashauri
Idadi ya vitalu
Mahali
Maelezo
Ilala
2
Kinyamwezi garden – 1.
Kitalu cha mboga, miche ya miti na matunda.
Karimjee botanical garden - 1
Kitalu cha miche ya miti na maua.
Kigamboni
1
Gazaulole
Kitalu cha mboga na miche ya matunda
Kinondoni
Hakuna

Vilivyopo 3 vimebinafsishwa kwa matumizi mengine ya maeneo hayo. Kitalu kimoja kitaanzishwa katika bustani ya Boko kwa msimu wa 2008/2009.
Temeke
2
Mtoni kwa Azizi Ali garden - 1
Kitalu cha miche ya miti, matunda na maua.
Temeke
1
Ofisi ya Wakala wa huduma za misitu veta
Kinamilikiwa na wizara ya maliasili na utalii
Ubungo
hakuna

Wamepanga kuanzisha kitalu
Jumla
5
 
 

 

HIFADHI YA MISITU ILIYOPO

Halmashauri

Aina

Eneo (Ha)

Mahali

Maelezo

Kinondoni
(Miombo) Msitu wa asili wa hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve)
1,223
Mabwepande
Unasimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii.
Shamba la miti la Manispaa (msitu wa kupandwa).
5
Bunju B
Unatunzwa na kikundi cha mazingira Bunju.

Hifadhi ya misitu ya Mikoko).
189.5
Kata za Mbweni, Kunduchi, Ununio, Msasani na Kawe.
Inasimamiwa na Wizara ya Maliasili- Idara ya misitu Kitengo cha mikoko ikisaidiana na Halmashauri ya Manispaa, CBO`s na vikundi vya mazingira.
Misitu ya Kupandwa (watu binafsi).
45
Mabwepande na maeneo mbalimbali.
Inamilikiwa na kusimamiwa na watu binafsi.
Jumla
1,462.5


Kigamboni
Shamba la miti la Manispaa
13.6
Kata ya Kimbiji na Toangoma.
Linasimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.
Misitu ya kupandwa (watu binafsi)
25
Kata ya Somangila na Kimbiji.
Husimamiwa na kumilikiwa na watu binafsi.
Misitu ya mikoko.
2,500
Maeneo ya fukwe za bahari.
Inasimamiwa na wizara ya Maliasili – Idara ya Misitu Kitengo cha ikoko ikisaidina na Halmashauri ya Manispaa, CBO`s  na vikundi vya mazingira.
Misitu ya asili
36
Kata ya Amani gomvu na Somangila
Watu binafsi.
Jumla ndogo

2,574.6


Temeke
Mikoko

13.2

Kata ya Mtoni kijichi
Unasimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii
Mikoko

8.3

kurasini
Unasimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii
Mikoko

7

kizinga
Unasimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii
Jumla ndogo

28.5



Ilala
Misitu ya asili.
13
Kitunda
Watu binafsi.
Shamba la  Manispaa
5
Kinyerezi
LInasimamwia na Manispaa.
Msitu wa mikoko
10
Daraja la Salenda
Inasimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwakushirikiana na Manispaa
Hifadhi ya msitu wa asili wa Zingiziwa.
105
Chanika
Linasimamiwa na Manispaa na vikundi vya utunzaji mazingira.
Jumla ndogo

133


Jumla
Mikoko
2728


Jumla
Misitu ya kupandwa
75


Jumla
Misitu ya asili
1,395.6


Jumla ya eneo la misitu yote 
4,199
 
 

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.