• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WATENDAJI WA KATA SHUGHULIKENI NA WANAOKIUKA SHERIA"

Posted on: April 12th, 2019

Ni agizo lake Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Daniel Chongolo, alipokuwa akiongea na wananchi wa Kata ya Makongo katika ziara yake aliyoifanya leo.

Amesema watendaji wa Kata na Mitaa wapo kwa mujibu wa sheria, na kazi yao kubwa ni kuisimamia kwa kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ili  yaweze kuleta tija kwa wananchi, na sio kuwachekea watu wanaovunja sheria kwani hawa wanatucheleweshea maendeleo.

"Watendaji wa Kata, simamieni watu wanaokiuka na kuvunja sheria, kwani wajibu wenu mkubwa pamoja na shughuli nyingine ni hiyo, watu hawa wanatucheleweshea maendeleo", Amesisitiza Chongolo.

Awali akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na shughuli za Kata kwa Mh Chongolo, Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bi.Husna Nondo amesema Kata hiyo ina wakazi wapatao 43,796, ambapo wanaume ni 21,289 na wanawake ni 22,509.

Ameongeza kuwa kata yake inatekeleza jumla ya miradi minne ambayo ni mradi wa zahanati ya Changanyikeni, ujenzi wa usambazaji maji shule ya msingi Changanyikeni, umaliziaji wa maabara shule ya Sekondari Makongo na Ujenzi wa barabara ya Mtaa Makongo juu.

Bi Husna pia ameainisha Changamoto zinazoikabili Kata ya Makongo kuwa ni kutokuwepo na kituo cha Polisi, Changamoto ya zoezi la Usafi kwa baadhi ya Mitaa, eneo la shule kuwa na mabonde, na kutokuwa na shule ya Sekondari ya karibu.

Akijibu swali la ukosefu wa madawa katika zahanati, Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dr. Festo Dugange amesema katika zahanati dawa hutolewa kutokana na sera na miongozo ya Serikali na katika ngazi hii  dawa zinazotakiwa ni 33 tu, ambapo kwa zahanati za Manispaa ya Kinondoni dawa hizo hupatikana kwa asilimia 100%.

Katika ziara hiyo Mkuu huyo wa Wilaya amekagua mradi wa zahanati pamoja na barabara inayojengwa na TARURA.

Imeandaliwa na

Kitengo cha Uhusiano na Habari.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki