• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

TAMISEMI YAIPONGEZA KINONDONI KWA HATUA NZURI WALIYOFIKIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA DMDP

Posted on: December 15th, 2017

 Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa hatua nzuri waliyoifikia katika kutekeleza miradi ya DMDP  kwa viwango vilivyokusudiwa, ikiwa ni pamoja na kulipa fidia maeneo yaliyopitiwa na mradi. 

 Pongezi hizo zimetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia Afya, Miundombinu, na uwekezaji Mh. Josephat Kandege alipofanya ziara Wilayani hapo kujionea hali halisi ya utekelezaji pamoja na hatua iliyofikiwa miradi hiyo.

 Amesema miradi hii ikikamilika italeta taswira nzuri ya Kinondoni na pia utekelezaji wake unakwenda sambamba na ulipaji wa fidia kwa wale ambao wamepitiwa na mradi na tathmini imekwisha fanyika 

 "Mimi niseme nimefarijika, nimefurahia jinsi ambavyo miradi inakwenda na kubwa zaidi ninalowaomba nikatika kuhakikisha kwamba wale ambao wanatakiwa walipwe fidia  walipwe kwa wakati " Amesema Naibu Waziri. 

 Naye Mratibu wa Miradi ya DMDP Manispaa ya Kinondoni Ndg Mkerewe Tungaraza katika taarifa yake ya mradi kwa Naibu Waziri amesema Kinondoni inatekeleza mradi huu kwa kipindi cha miaka mitano (2016-2020), na kazi zinazotekelezwa zimegawanyika katika awamu mbili. 

 Amezifafanua awamu hizo  mbili na kazi zitakazofanyika kuwa ni uboreshaji wa miundombinu pamoja na uboreshaji wa maeneo ya makazi ya wananchi kwa awamu zote. 

 Katika hatua nyingine Naibu waziri huyo ameitaka mamlaka ya barabara vijijini (TARURA) kuwa na utaratibu wa kufanya ukarabati wa barabara mara zinapoonyesha kuharibika ili kuepusha uharibifu mkubwa unaoweza kutokea. 

 Naibu Waziri ametembelea miradi ya barabara za Makumbusho, viwandani Msasani Soko la Samaki pamoja na jengo la ofisi ya DMDP ambalo limekamilika kwa asilimia 97.

 Imetolewa na
 Kitengo cha Habari na Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki