• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

TAMISEMI KWA KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU KINONDONI

Posted on: July 10th, 2019

NI KUPITIA MPANGO WA LIPA KUTOKANA NA MATOKEO (EP4R),  KWA KUTOA MILIONI 75, KUKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI KISAUKE.

Akifafanua mpango huo wenye dhamira ya dhati ya kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Halmashauri kuboresha miundombinu ya elimu katika kikao cha wazazi kilichofanyika shuleni hapo, Kaimu Afisa Elimu msingi Bi Chitegetse Dominik amesema TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na teknolojia imefikia uamuzi huo baada ya kuridhishwa na juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni katika azma yake ya ujenzi na uboreshaji wa vyumba 100,vya madarasa kwa kushirikiana na wadau pamoja na wananchi katika Wilaya yake.

Amesema miundo mbinu ya shule ya msingi kiasuke haikuwa rafiki kwa mfumo mzima wa elimu, kwani changamoto kubwa ilikuwa ni upungufu wa vyumba vya madarasa, vyoo vya waalimu na wanafunzi, pamoja na ofisi ya waalimu.

"Kutokana na adha hiyo imemlazimu mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo kuleta mradi wa kujenga vyumba sita vya madarasa, ofisi ndogo ya mwalimu mkuu ikiwa na choo chake pamoja na vyoo viwili vya walimu ili aweze kupunguza msongamano wa wanafunzi kwenye darasa Moja na kupunguza usumbufu wa wanafunzi kuvuka barabara mara kwa mara kwenda kusomea kwenye madarasa yaliyoazimwa toka shule ya sekondari ya jirani".Amefafanua Chitegetse.

Naye Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bi. Pellagia Mdimi akitoa taarifa ya shule yake amesema inayo jumla ya wanafunzi 1886, ambapo wanaume ni 915 na wanawake ni 971 na kuainisha changamoto zilizopo kuwa ni msongamano wa wanafunzi kwenye madarasa, upungufu wa vyoo pamoja na ofisi ya waalimu.

Kwa nyakati tofauti wazazi wa wanafunzi  wanaosoma shule ya Msingi kisauke wamepongeza juhudi za Serikali pamoja na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuona changamoto zilizopo mashuleni na kufikia hatua ya kuzifanyia kazi, ikiwa ni pamoja na kupunguza changamoto zilizokuwa zinawakabili watoto wao.

Miradi hiyo inatarajiwa kufikia mwezi wa tisa iwe imekamilika ili wanafunzi pamoja na waalimu waweze kunufaika kwa kuwapatia elimu iliyobora na sio bora elimu.

Imeandaliwana

Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki