• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

"SASA HAMTADAI FEDHA ZA MATUMIZI PEKE YENU, NITAKUWA NANYI KUHAKIKISHA MNAPATA FEDHA ZA MATUMIZI ".

Posted on: March 9th, 2018

 NI KAULI YAKE MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH PAUL MAKONDA KUELEKEA TAREHE 09/04/2018 SIKU ALIYOITANGAZA YA KUSIKILIZA KERO ZA WAKINAMAMA WALIOTELEKEZWA NA WAUME ZAO MKOANI KWAKE. 

 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda amewataka wanawake wote waliotelekezwa na waume zao kufika ofisini kwake tarehe 09/04/2018 ili kuweza kusikilizwa matatizo yao na kupatiwa ufumbuzi kwa mujibu wa sheria. 

 Ameitoa kauli hiyo leo alipokuwa akiongea na wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe ya siku ya wanawake duniani yenye kauli mbiu isemayo "Kuelekea uchumi wa viwanda, tuimarishe usawa wa jinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijini "

 Amesema katika Mkoa wake amebaini wanawake wengi kutelekezwa na waume zao na hivyo kufanya idadi kubwa ya watoto kulelewa na mzazi mmoja, na wengine kuua vichanga vyao na wengine kuwatupa watoto hali inayopelekea kuwa na watoto wengi wa mtaani.

 "Nimebaini wakinababa wengi wamewatelekeza wakinamama, wamewapa ujauzito na kuwaacha wakawafanya wakinamama kutoa mimba, wakawafanya wakinamama kuua vichanga vyao,  wakawafanya wadada wengi kufukuzwa majumbani kwao, wakati wao wamekaa wakistarehe pasipo kujali. ..sasa kinamama hamtateseka wala hamtadai fedha za matumizi peke yenu nitakua nanyi kuhakikisha mnapata fedha za hizo "Amesema Makonda

 Ameongeza kuwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2009 iliyotungwa inayozungumnzia haki ya mtoto inamtaja baba moja kwa moja kama mlezi wa kwanza akishirikiana na Mama katika malezi ya mtoto.

 Maadhimisho haya ya siku ya wanawake yaliyofanyika kimkoa katika ukumbi wa Mlimani city pamoja na viongozi wa vyama na Serikali, pia yamehudhuriwa na vikundi mbalimbali vya wajasiriamali kutoka Manispaa ya Kinondoni, Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Habari na Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki