• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

RC MAKONDA AZINDUA JENGO LA UPASUAJI MWANANYAMALA LILILOGHARIMU TAKRIBAN MILIONI 420. HADI KUKAMILIKA KWAKE.

Posted on: January 26th, 2018

 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Mh Paul Makonda amezindua Jengo la upasuaji na wodi ya wajawazito katika Hospital ya Mwananyamala lililofadhiliwa na Kampuni ya GSM ambalo limegharimu takribani milioni 420 hadi kukamilika kwake. 

 Uzinduzi wa jengo hilo umefanyika leo katika Hospital ya Mwananyamala katika hafla iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya pamoja na viongozi wa vyama na Serikali .

 Akizindua jengo hilo leo Mh Makonda amesema litakuwa maalumu kwa ajili ya utoaji huduma za upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine wa dharura. 

 "Nitumie fursa hii kuwapongeza GSM foundation kwa support yao kubwa waliyoifanya na kukamilisha ndoto hii ya Muda mrefu ya kupunguza tatizo kubwa la kinamama kugombania chumba kimoja cha operesheni na kusababisha vifo vingi kwa kinamama na watoto "Amebainisha Makonda. 

 Amesema ujenzi wa jengo hilo pamoja na vitu vingine ni katika kuunga mkono juhudi za Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli katika kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa hasa ile ya uzazi kwa kinamama  na kupunguza vifo vya mama na mtoto kunakosababishwa na kukosa huduma madhubuti kunakoenda sambasamba na mazingira yasiyo rafiki. 

 Aidha amebainisha kuwa jengo hilo lina vyumba viwili maalum kwa ajili ya upasuaji, vyumba kwa ajili ya uangalizi maalumu,(ICU),  vyumba vya uangalizi baada ya upasuaji, vyumba vya utawala pamoja na huduma nyingine. 

 Kadhalika ameeleza uwezo wa jengo  hilo la upasuaji kuweza  kupumnzisha wagonjwa kumi ambao wamekwisha fanyiwa upasuaji kwa wakati mmoja bila bugudha yeyote, na kufanya upasuaji kwa wagonjwa wawili kwa wakati mmoja. 

 Naye Maneja Mkuu wa Kampuni ya GSM Eng Hersi Said amesema kwa kampuni yao kushirikiana na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya ni faraja kubwa, na pia ni  katika kuhakikisha vifo vya mama na mtoto katika uzazi vinapungua. 

 Katika hatua nyingine RC Makonda amewataka wananchi wa Mkoa wa Dar És Salaam kuhakikisha wanakuwa na utaratibu wa kupima afya mara kwa mara ili kuweza kupata huduma ya matibabu kwa haraka na kwa wakati. 

 Pia amesisitiza umuhimu wa matumizi ya Tiba kwa Kadi kutakakomrahisishia mgonjwa kupata huduma kwa haraka. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki