• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH ALLI HAPI AFANYA ZIARA KUKAGUA HATUA ZA UTEKELEZAJI ZILIZOFIKIWA KATIKA UKARABATI WA BARABARA UNAOENDELEA KWENYE WILAYA YAKE.

Posted on: January 1st, 2018

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Ali Hapi leo amefanya ziara kukagua hatua mbalimbali za utekelezaji zilizofikiwa katika ukarabati wa barabara unaoendelea kwenye Wilaya yake ikiwamo zile zilizoko chini ya TARURA pamoja na zile zinazotekelezwa chini ya mradi wa DMDP.

 Akikagua barabara hizo Mh Hapi amesema amefurahishwa na hatua zilizofikiwa na zenye viwango vya kuridhisha kwani kukamilika kwake kutawaondolea kero watumiaji wake hasa ile wanayoipata wakati wa mvua.

 "Nataka niwaambie wananchi wa Kinondoni kuwa mwaka 2018, ni mwaka wa barabara, nimefanya ziara hii kujionea mwenyewe hatua za utekelezaji wa ukarabati, nimeridhishwa nao,  niwaombe TARURA waharakishe upitiaji wa mikataba ya awali iliyoingiwa kuhusiana na barabara hizi na wanipatie majibu ndani ya kipindi kifupi 

 Naye Maneja TARURA Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Leopod Rungi amebainisha kuwa takribani shilingi bilioni 1.2 zimetengwa kwa ajili ya kukarabati mita 22,000 za ukubwa ambapo ni sawa na urefu wa km 2.5 za barabara. 

 Ameainisha kazi zinazofanyika katika barabara hizo kuwa ni kuziba viraka, kufukia mashimo, usanifu pamoja na kutengeneza mitaro. 

 Katika hatua nyingine Mh Hapi amewataka wananchi kuhakikisha wanazithamini na kuzipenda barabara hizo kwa kuhakikisha wanazingatia usafi hasa yale maeneo ya mitaro yanayopakana na nyumba zao. 

 Barabara zilizotembelewa ni Barabara ya kondoa yenye urefu wa km 1.5, barabara ya mlandizi yenye urefu wa km 5.2, Barabara ya Sayansi yenye urefu wa km 0.6, barabara ya Slip way yenye urefu wa km 2.4, pamoja na barabara ya CCBRT yenye urefu wa km 0.8.

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki