• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kinondoni Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • Mission and Vision
    • History
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Madiwani
    • Departmments
      • Human Resources and Personel
      • Trade and Finance
      • Urban Planning and Land Development
      • Community Development
      • Health
      • Secondary Education
      • Pre-primary and Primary Education
      • Internal Auditor
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock
      • ICT
      • Units
        • Legal
        • Internal Auditor
        • Procurement
      • Planning and Statistics
      • Water and Sanitation
    • Organization Structure
    • Services
    • Madiwani
    • Mkurugenzi
    • Wards
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • By laws
    • Budgets
  • Media Center
    • Press Release
    • Hotuba
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • News letter
  • Procurement
    • Matnagazo ya Zabuni
    • General Procurement Notice
    • Publication of Tender Awards 2016/17
    • Annual Procurement Plan
  • Kodi za Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Miradi iliyomalizika

MKURUGENZI KINONDONI AAHIDI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA ELIMU SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YAKE

Posted on: April 12th, 2018

Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli kwa kushirikisha wadau wa elimu, ameahidi kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta hiyo kwa upande wa Sekondari ili wanafunzi waweze kusoma katika mazingira mazuri na yenye kuridhisha yatakayochangia ufaulu katika masomo na mitihani yao.

Amebainisha hayo alipofanya ziara kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mipya inayotekelezwa katika shule za Sekondari zilizopo kwenye Halmashauri yake.

Amesema  atahakikisha changamoto hizo zinatatuliwa ili kuweka mazingira mazuri na salama kwa wanafunzi kusoma, na waalimu kufanya kazi kwa weledi.

Amezitaja changamoto hizo kwa kidato cha kwanza hadi cha nne kuwa ni upungufu wa matundu ya vyoo, huduma za umeme, upungufu wa maji,na uvamizi wa maeneo ya shule.

Nyingine ni masinki ya kufulia nguo, vifaa vya kupikia, ukamilishaji wa mabwalo na uzio wa shule kwa shule mpya za kidato cha tano na cha sita.

Aidha amemtaka Mhandisi pamoja na Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa hiyo kufikia Julai mwaka huu, wafanye tathmini ya gharama zinazohitajika ili kukamilisha changamoto hizo ili shule hizo mpya ziweze kusajiliwa .

Miradi iliyotembelewa ni ujenzi wa shule ya Sekondari Mzimuni, mbezi juu, Mivumoni, kwa kidato cha kwanza hadi cha nne, na kwa kidato cha tano na sita ni Sekondari ya Tumaini girls na mbweni Teta .


Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Announcements

  • Viongozi watakiwa kuhudumia wananchi bila kujali Itikadi zao March 22, 2017
  • Mashamba na Viwanja Vyote Kinondoni Kupimwa March 23, 2017
  • Maombi ya Mhula mpya wa leseni za vileo March 31, 2017
  • Tangazo kuhusiana na wananchi waliokutwa na mradi wa upimaji wa viwanja mabwepande. April 06, 2017
  • Tazama zote

Latest News

  • TAASISI ZA KIDINI, MASHIRIKA BINAFSI, ONGEZENI NGUVU KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM KATIKA JAMII

    April 21, 2018
  • UMOJA NA MSHIKAMANO VYATAJWA KUWA KIGEZO CHA UTEKELEZAJI BORA WA ILANI YA CCM KINONDONI

    April 19, 2018
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA MADHARA YA MVUA MANISPAA YA KINONDONI

    April 17, 2018
  • MKURUGENZI KINONDONI AAHIDI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA ELIMU SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YAKE

    April 12, 2018
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Related Links

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    simu: +255 22 2170173

    Mobile:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • FAQ
    • Ramani ya Tovuti
    • Service

Hatimiliki