Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupokea wageni mbalimbali katika banda lake lililoko viwanja vya Tungi, Mkoani Morogoro, ikiendelea kutekeleza kauli mbiu ya Nane nane mwaka huu isemayo "Wekeza katika kilimo, mifugo na uvuvi kwa maendeleo ya viwanda "
Kinondoni tumetekeleza.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Uhusiano na habari.
Manispaa ya Kinondoni.
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz