Karibu katika banda la Manispaa ya Kinondoni ujionee kilimo cha mbogamboga kwa utaalamu na mpangilio madhubuti.
Kutakuwa na wataalam mbalimbali watakaotoa elimu ya Kilimo hicho cha mbogamboga.
Ni banda pekee unaloweza kupata utaalamu wa kuotesha matunda kwa njia ya shades kitaalamu inaitwa (Snake guld)
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz