• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

MAENDELEO YA JAMII KINONDONI WATEMBELEA ENEO LA VIWANDA VIDOGO SIDO

Posted on: February 11th, 2021

Maafisa maendeleo ya jamii 25 kutoka Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali PAKACHA  wamefanya ziara kutembelea eneo la viwanda vidogo SIDO Vingunguti kwa lengo la kujionea  mashine mbalimbli zinazozalishwa na SIDO ambapo Manispaa inaweza kukopesha kupitia mfumo ya kuwezesha Wananchi kiuchumi.

Akiongea wakati wa ziara hiyo, mratibu wa mradi kutoka Taasisi ya Pakacha Bw. Haruni Jongo amesema wameamua kuwezesha ziara hiyo kwa sekta hiyo kwani wanaamini kwamba wakipata uelewa  mpana juu ya bidhaa zinazopatikana hapa nchini watakuwa mabalozi wazuri kwa wanufaika mikopo

Naye Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi Halima kahema alipokuwa akizungumza  ameishukuru Taasisi ya pakacha kwa kuwezesha Maafisa kutembelea SIDO, kwani wamekutana na teknolojia mpya ambazo wajasiriamali wanaweza kutumia na kuleta tija katika uzalishaji wa bidhaa zao.

 Amesema  kwa kutoa mikopo ya vitendea kazi itasaidia wanufaika hao kutumia mikopo yao kwa Lengo husika na kuwataka Maafisa Maendeleo kutumia uelewa walioupata kiwandani hapo kuwahamasisha vijana, walemavu na wanawake wanaotaka mikopo ya  kununua vifaa kuwapa elimu sahihi ya vifaa na mahali vinapopatikana.

Kinondoni kwa mwaka wa fedha unaoisha Ilitenga kiasi cha   Tsh Bil 3.4 kwaajili ya mikopo ya vijana, wanawake na walemavu ambapo vikundi mbalimbali vinaendelea kunufaika na mikopo hiyo.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki