• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

KINONDONI YAKABIDHIWA CHUO CHA UFUNDI CHA TEGETA VOCATIONAL TRAINNING CENTRE

Posted on: August 27th, 2019

Akipokea chuo hiko kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la  Goodneighbours,  Mstahiki Meya  Manispaa ya Kinondoni Mhe Benjamin Sitta amesema chuo hiko kimekuja wakati mwafaka kwani Serikali inahitaji nguvu kazi kwa vijana ili kwa pamoja tuweze kusukuma gurudumu katika kuhakikisha sera ya nchi ya uchumi wa Kati wa viwanda inatekelezwa na viwanda hivyo  vinaendeshwa.

Amesema kunapopatikana fursa hizi ni lazima nguvu kubwa ielekezwe kwa vijana wetu  katika kuhakikisha elimu hiyo sahihi inatolewa ili kuendana na kasi ya Serikali yetu yenye sera ya  uchumi wa Kati wa viwanda inayohitaji vijana wenye ujuzi katika kuviendesha viwanda hivyo.


Awali alipozungumza  Mkurugenzi mkuu wa  shirika la Good neighbours Bw Hunggoo Ann amesema, wanaamini Kinondoni itaendeleza lengo la kujengwa kwa chuo hiko ambalo ni  kukuza kipato kwa vijana, kuwezesha kukuza vipaji katika fani mbalimbali na kupunguza umasikini kwa kuwapatia ujuzi ambao utaongeza vipato vyao.

Naye Mkuu wa chuo hiko Bw Ignas Kisindo amebainisha fani mbalimbali zinazotolewa katika chuo hiko kuwa ni pamoja na Ufundi umeme wa majumbani, Ushonaji, ICT, Udereva, Ufundi magari na udereva na udereva wa kijiko.

Katika hatua nyingine Meya Sitta ameahidi  kuwezesha mikopo ya vifaa wahitimu wanaomaliza masomo katika chuo hiko, ili waweze kujiajiri moja kwa moja.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KINONDONI YAANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI YATAKAYOFANYIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS

    December 10, 2019
  • KINONDONI YAAPISHA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA NA WAJUMBE WAKE

    December 02, 2019
  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAMPONGEZA MKURUGENZI KWA UFAULU MZURI WA DARASA LA SABA 2019

    November 28, 2019
  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA YA UKUSANYAJI MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA KINONDONI

    November 27, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki