• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

Posted on: February 19th, 2021

Manispaa ya Kinondoni kupitia Chuo cha kilimo Malolo  imeendesha mafunzo ya siku mbili yenye lengo la kuwezesha Vijana kujiajiri kupitia usindikaji wa mazao ya mbogamboga na matunda.

Akiongea wakati akizindua mafunzo hayo yaliyokutanisha Vijana 20 kutoka kata za pembezoni, Mkuu wa Chuo cha kilimo malolo ambae pia ni  Mkuu wa Idara ya kilimo na ushirika Manispaa ya Kinondoni Bw Salehe Hija Amesema mafunzo haya ni fursa nzuri kwa Vijana kuweza kujiajiri kwenye masuala ya ujasiriamali kwa kupitia kuongeza thamani kwenye mazao ya mbogamboga na nafaka.

Amesema mafunzo haya kwasasa yanatolewa bure kabisa kwani yanagharamiwa na Manispaa hivyo amehimiza vijana wengi Zaidi kujitokeza kuweza kupata mafunzo haya ambayo yatakwenda kubadili uchumi wa Vijana kupitia ujasiriamali.

Naye Mratibu wa mafunzo toka Chuo cha Malolo Bi Luciana Msangi Amebainisha mafunzo yatakayotolewa kwa siku hizi mbili kuwa utengenezaji wa tomato source na utengenezaji wa  cake.

Chuo cha Malolo kinachomilikiwa n a Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kinatarajia kuanza mafunzo kuhusiana na kilimo, lishe na usindikaji wa mazao ya mbogamboja na nafaka kwa hadhi ya veta.


Imetolewa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki