• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kinondoni Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • Mission and Vision
    • History
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Madiwani
    • Departmments
      • Human Resources and Personel
      • Trade and Finance
      • Urban Planning and Land Development
      • Community Development
      • Health
      • Secondary Education
      • Pre-primary and Primary Education
      • Internal Auditor
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock
      • ICT
      • Units
        • Legal
        • Internal Auditor
        • Procurement
      • Planning and Statistics
      • Water and Sanitation
    • Organization Structure
    • Services
    • Madiwani
    • Mkurugenzi
    • Wards
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • By laws
    • Budgets
  • Media Center
    • Press Release
    • Hotuba
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • News letter
  • Procurement
    • Matnagazo ya Zabuni
    • General Procurement Notice
    • Publication of Tender Awards 2016/17
    • Annual Procurement Plan
  • Kodi za Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Miradi iliyomalizika
  • Vituo vya Kukusanyia Mapato

KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA SHULE

Posted on: November 29th, 2018

Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Thadei Massawe  imetembelea miradi mitano ya shule za awali, msingi na sekondari kwa lengo la kujiridhisha na ukamilishaji wa vigezo vya usajili pamoja na hatua za utekelezaji zilizofikiwa kwa ujenzi wa shule za msingi na sekondari.

Akiiongoza kamati hiyo Mhe.Thadei amesema kuboreshwa kwa  miundombinu ya elimu ndio msingi imara wa upatikanaji wa elimu iliyo bora, hivyo kama kamati hatuna budi kujiridhisha na swala hilo muhimu kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, unaowataka watanzania kijiajiri kupitia elimu.

"Miundo mbinu ya elimu pamoja na mazingira vikiboreshwa, hakika vijana wetu watapata elimu iliyobora, kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, Serikali yetu ya sasa inathamini sana elimu, na sisi kinondoni tunatekeleza hilo."Ametanabaisha Mhe.Thadei

Aidha  kamati wamesisitiza ukaguzi wa mara kwa mara wa taasisi binafsi na shule ili kujiridhisha si tu ubora wake, bali hata elimu inayotolewa pale kwani wataalamu wa elimu wapo na hasa ikizingatiwa jamii imara hujengwa na taasisi imara.

Shule zilizotembelewa ni shule ya awali na msingi Kisanga iliyopo Wazo, Shule ya awali Jubilation iliyopo Bunju, Shule ya awali na Msingi Erastus iliyopo Mabwepande, Shule ya Sekondari crown iliyopo Mbezi beach Makonde, na Shule ya awali na msingi Readers Rabbits iliyopo Msasani.

Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Announcements

  • Viongozi watakiwa kuhudumia wananchi bila kujali Itikadi zao March 22, 2017
  • Mashamba na Viwanja Vyote Kinondoni Kupimwa March 23, 2017
  • Maombi ya Mhula mpya wa leseni za vileo March 31, 2017
  • Tangazo kuhusiana na wananchi waliokutwa na mradi wa upimaji wa viwanja mabwepande. April 06, 2017
  • Tazama zote

Latest News

  • RAI YATOLEWA KWA MASHIRIKA YA UMMA, NA BINAFSI KUSHIRIKI KAMPENI YA UCHANGIAJI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KINONDONI

    February 07, 2019
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI(CMAC),YASHIRIKI MAFUNZO YA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE

    February 07, 2019
  • WANANCHI KINONDONI WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KULIPA KODI KILA MWAKA

    February 03, 2019
  • WITO WATOLEWA KWA ASASI ZA KIRAIA KUSHIRIKI KAMPENI YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA ELIMU KINONDONI

    January 30, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Related Links

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    simu: +255 22 2170173

    Mobile:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • FAQ
    • Ramani ya Tovuti
    • Service

Hatimiliki