• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

BALOZI SEIF ALLI IDD ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KAULI MBIU YA NANE NANE MWAKA 2018, MKOANI MOROGORO

Posted on: August 7th, 2018

NI BAADA YA KUZURU BANDA LA MANISPAA YA KINONDONI NA KUJIONEA SEKTA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WALIVYOJIPANGA KATIKA KUFIKISHA UJUMBE KWA VITENDO.


Makamu wa pili wa Rais, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif  Alli Idd, ameoneshwa kuridhishwa na utekelezaji wa kauli mbiu ya mwaka 2018, ya maonesho ya 25, ya nane nane Mkoani Morogoro isemayo "Wekeza katika kilimo, mifugo, na uvuvi kwa maendeleo ya viwanda "alipozuru katika banda la Manispaa ya Kinondoni lililoko katika viwanja vya Tungi Mkoani hapo.

Hali hiyo imejidhihirisha pale alipotaka maelezo kwa kina kuhusiana na utengenezaji wa Chakula cha kuku, utengenezaji wa viatu vya ngozi utokanao na ngozi za wanyama,  pamoja na ufugaji wa mbuzi wa maziwa aina ya Saanen,  ambao maziwa yao ni dawa inayotibu magonjwa mablimbali, na kuoanisha shughuli zote hizo na mnyororo wa thamani uliopo katika kutekeleza kauli mbiu ya mwaka huu ya maonesho ya Nane nane, hasa ikizingatiwa Sera ya Serikali ya Nchini Tanzania , chini ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Magufuli ni ya uchumi wa kati wa viwanda, kupitia malighafi zinazozalishwa na wajasiriamali wetu.

Katika ziara yake hiyo aliyoambatana na viongozi mbalimbali wa vyama na serikali Balozi Seif amepatiwa maelezo ya kitaalam kutoka kwa wataalam wa sekta ya Kilimo, mifugo na uvuvi, na piĆ” fursa ya kuzitembelea sekta hizo kwa lengo la kujionea kwa vitendo,  aina ya Kilimo kitumiacho vipando vya mboga mbalimbali, kwa kutumia eneo dogo  na kupata mazao mengi yenye faida, mifugo inayofugwa kitaalamu pamoja na uvuvi unaozingatia sheria na kanuni.

Imeandaliwa na

Kitengo cha Uhusiano na Habari.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki