• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kinondoni Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • Mission and Vision
    • History
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Madiwani
    • Departmments
      • Human Resources and Personel
      • Trade and Finance
      • Urban Planning and Land Development
      • Community Development
      • Health
      • Secondary Education
      • Pre-primary and Primary Education
      • Internal Auditor
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock
      • ICT
      • Units
        • Legal
        • Internal Auditor
        • Procurement
      • Planning and Statistics
      • Water and Sanitation
    • Organization Structure
    • Services
    • Madiwani
    • Mkurugenzi
    • Wards
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Brochures
    • By laws
    • Budgets
  • Media Center
    • Press Release
    • Hotuba
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
    • News letter
  • Procurement
    • Matnagazo ya Zabuni
    • General Procurement Notice
    • Publication of Tender Awards 2016/17
    • Annual Procurement Plan
  • Kodi za Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Miradi iliyomalizika
  • Vituo vya Kukusanyia Mapato

Nawezaje Kupata Kadi ya msamaha wa Matibabu

KADI YA MSAMAHA WA MATIBABU MANISPAA YA KINONDONI.

Kadi ya Msamaha wa Matibabu hutolewa kwa wazee kuanzia umri wa Miaka 60.

Mzee huyu lazima awe Mkazi wa Manispaa ya Kinondoni.

Kadi hii hutolewa bure, hakuna malipo yeyote.

UTARATIBU WA KUPATA KADI YA MSAMAHA.

•    Muhusika anatakiwa kupata barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa wake anakoishi.

•    Barua hiyo ya utambulisho iambatishwe na Picha ya pass port moja.

•    Baada ya kukamilisha taratibu hiyo, Muhusika afike ofisiza Mganga Mkuu wa Manispaa zilizopo Mkabala na Kituo cha Afya cha Magomeni(Barabara ya Kawawa na Morogoro), kwa ajili ya kupiga Picha itakayotumika kwenye Kadi yako , pamoja na kupewa taratibu nyingine na tarehe ya kuchukua kadi yako .

KADI YA MSAMAHA INATUMIWAJE

Kadi hii hutumika kwenye vituo vya  Afya, Zahanati pamoja na hospital zilizopo Manispaa ya Kinondoni.

Mtumiaji atatakiwa kufuata taratibu zifuatazo pindi atakapokuwa na uhitaji wa kupata matibabu.

Kwanza anatakiwa kuanzia Zahanatiiliyopo karibu nae kwa ajili ya kupata huduma,itakapoonekana kunauhitaji wa uangalizi mwingine na matibabu mengine Muhusika atatakiwa kupewa barua ili aweze kwenda Kituo cha AFya kwa matibabu.

Kadi hii itatumika kwenye Hospital ya Mwananyamala endapo tu huduma anazotakiwa kuzipata mgonjwa zimeshindikana kwenye Zahanati na vituo vya Afya, na Mgonjwa huyu atatakiwa  kupewa barua ya kumuelekeza kwenda hospital hiyo yaani(Referral letter).kwa ajili ya matibabu zaidi.




Announcements

  • Viongozi watakiwa kuhudumia wananchi bila kujali Itikadi zao March 22, 2017
  • Mashamba na Viwanja Vyote Kinondoni Kupimwa March 23, 2017
  • Maombi ya Mhula mpya wa leseni za vileo March 31, 2017
  • Tangazo kuhusiana na wananchi waliokutwa na mradi wa upimaji wa viwanja mabwepande. April 06, 2017
  • Tazama zote

Latest News

  • RAI YATOLEWA KWA MASHIRIKA YA UMMA, NA BINAFSI KUSHIRIKI KAMPENI YA UCHANGIAJI UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KINONDONI

    February 07, 2019
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA KINONDONI(CMAC),YASHIRIKI MAFUNZO YA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE

    February 07, 2019
  • WANANCHI KINONDONI WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KULIPA KODI KILA MWAKA

    February 03, 2019
  • WITO WATOLEWA KWA ASASI ZA KIRAIA KUSHIRIKI KAMPENI YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA ELIMU KINONDONI

    January 30, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Related Links

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    simu: +255 22 2170173

    Mobile:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • FAQ
    • Ramani ya Tovuti
    • Service

Hatimiliki