Wednesday 11th, December 2019
@Shule ya Msingi Oysterbay.
"Manispaa ya Kinondoni na shule zake ndio imekuwa ya kwanza ndani ya Jamuhuriya Muungano wa Tanzania". Ni kauli yake Suleiman Jafo Waziri Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI kufuatia ufaulu wa asilimia 93.3% matokeo ya darasa la Saba Kitaifa 2017.
Waziri Jafo akizungumnzia matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2017.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli akitoa ufafanuzi wa jambo kwa uongozi wa wah. Mawaziri,
Matukio Katika Picha.
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz