Mkurugenzi wa Manispaa ya kinondoni anawatangazia wakazi wote wa Manispaa yake wanaofuga mbwa kuwa kampeni ya kichaa cha mbwa itaanza tarehe 09/07/2018 hadi 17/07/2018, hivyo kila mfugaji anatakiwa kuhakikisha anamleta mbwa wake kwa ajili ya chanjo hizo kutokana na ratiba iiliyoambatishwa hapo chini.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.